FREE SHIPPING ON ALL ORDERS OVER $ 200 SHOP NOW

Cement | Saruji

$ 5.34

Add to Wishlist
Add to Wishlist
Category:
Description Cement ya Extra ina kiwango cha 32.5, unaweza kutumia cement hii katika ujenzi na kupiga plaster. Cement Plus ya Twiga na Dang’ote unaweza kutumia katika ujenzi, kujenga msingi au kufyatua tofali nk. Simenti (Cement) au Saruji huitaji kuchanganywa na mchanga na maji kidogo ili kutumika katika sehemu mbali mbali.

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping