Bind wire hupatikana katika ujazo wa roll zima na kilo moja. Bind wire hufanikisha mshikamano wa vifaa mbali mbali katika ujenzi. B/Wire hutumika katika kukaza nondo kabla ya kumwaga zege. Bind wire hutumika pia katika kufunga vyuma wakati wa usafirishaji.